Video Mpya : P-Square – Bank Alert,ingia kwenye blog hii kuwatch na kudownload


Video Mpya : P-Square – Bank Alert

Baada ya kuvunjika kwa kundi la P-Square linaloundwa na ndugu wawili, Peter na Paul Okoye huku kila mtu akifanya kazi kivyake, hatimaye kundi hilo limerudi tena kwa wasanii hao kuachia video ya wimbo wao mpya ‘Bank Alert. 

Tazama hapa chini video hiyo.
==


Comments

Popular posts from this blog

KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VIKUU NCHINI 2016/2017,NA JOINING INSTTRUCTION