Posts

Image
mabinadavi.blogspot.com Tuesday, January 31, 2017 Update: Kama Bado Hujayaona Matokeo ya Kidato cha Nne.....Yaangalie Kupitia Hapa Tovuti ya Necta imeelemewa Kidogo. Tumia Hii Link kuyatazama Matokeo ==> Bofya << HAPA>>  Kuyatazama Matokeo
Image
mabinadavi.blogspot.com Taarifa Muhimu: Serikali Yatangaza UHAKIKI wa Wanafunzi Wote Walioko Vyuo Vikuu Ambao Wanasoma Shahada Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inawatangazia Viongozi wa vyuo vyote vinavyotoa shahada nchini vya umma na vya binafsi kuwa kutakuwa na uhakiki wa ubora wa vyuo hivyo.    Uhakiki huo utaanza siku ya Jumatano Oktoba 19, 2016, hivyo, vyuo vyote vinatakiwa kutoa ushirikiano kwa timu za wataalamu zitakazofika kwa ajili ya kufanya uhakiki huo. Aidha, katika ukaguzi wa sifa za wanafunzi wanaoendelea na masomo vyuo vyote, Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), itatoa majina ya wanafunzi wanaotambuliwa na kwamba walidahiliwa kupitia TCU katika Programu zao za Shahada katika vyuo mbalimbali vinavyotoa shahada nchini siku ya Jumanne Oktoba 18, 2016. Hivyo, wanafunzi wote wanatakiwa kuangalia majina yao katika Tovuti ya TCU na kwa yeyote ambaye hataona jina lake awasiliane na Uongozi wa TCU haraka iwezekanavyo ili kupata m...
Image
mabinadavi.blogspot.com UPDATED:HII HAPA LIST YA VYUO VILIVYOTOA SELECTION YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VIKUU MBALIMBALI 2016/2017   Paun Jotia        12:53:00        No comments     Habari yako, Maswayetu blog,tumedhamiria kuwapa vitu roho inapenda hapa  mjini,Tumeamua kukuwekea list ya vyuo vikuu ambavyo vimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa na joining instructions za  kujiunga na vyuo vikuu 2016/2017-FIRST BATCH KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU 2016/2017, CHUO CHA UNITED AFRICAN          >> BONYEZA HAPA <<  CHUO CHA NIT                                     >> BONYEZA HAPA <<  CHUO CHA  UHASIBU-ARUSHA       >> BONYEZA HAPA <<  CHUO CHA  JOSIA KIBIRA ...
Image
mabinadavi.blogspot.c MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU MUCCOBS(MOCU) USHIRIKA UNIVERSITY-MOCU SECOND ROUND(BATCH 2) 2016/201   MOCU: Second selection Applicants selected to Join various degree programmes 2016/2017 Second selection Applicants selected to Join various degree programmes 2016/2017 To see all names   <<CLICK HERE>> om